Msaada & Huduma kwa wateja

Nyumbani
Msaada
Kuhusu Sisi
Maoni Yako
SMS huduma
Makubaliano ya Huduma Zetu
Usalama & Sera ya Faragha

Stooyangu © 2024

Nyumbani > SMS huduma >

Stooyangu.com: SMS huduma


Kawaida unatakiwa kuingia kwenye stoo yako ili uweze kuona Oda mpya za wateja, lakini huduma hii ya SMS-huduma ina kurahisishia mambo zaidi.

Huduma hii itakuwezesha kupata SMS kupitia simu yako ya mkononi pindi tu utakapo kuwa na Oda mpya za bidhaa kwenye stoo yako kutoka kwa wateja, ili uweze kuzifanyia kazi kwa haraka zaidi, Hii ni pale ambapo utakuwa umeishiwa data (MB) basi utaweza pata Oda mpya kupitia SMS za kawaida.


Maswali yaulizwayo mara nyingi.