Namna ya kununua bidhaa Stooyangu.com

Nyumbani
Msaada
Kuhusu Sisi
Maoni Yako
SMS huduma
Makubaliano ya Huduma Zetu
Usalama & Sera ya Faragha

Stooyangu © 2024

Nyumbani > Namna ya kununua bidhaa >

Stooyangu.com: Namna ya kununua bidhaa Stooyangu.com


Kununua bidhaa ndani ya Stooyangu.com ni rahisi, hatua ya kwanza tafuta bidhaa uipendayo, kisha ifungue kuona taarifa zaidi juu ya bidha hiyo, ukiwa umeridhika na bidhaa hiyo basi weka idadi ya bidhaa unazo hitaji kisha ziweke kwenye kapu la manunuzi kwa kubonyeza butoni ya Weka kapuni, ukiwa umemaliza kununua bidhaa na sasa upo tayari kwa kulipia basi angali upande wa juu utaona kikapu cha manunuzi kikiwa na idadi ya bidhaa ulizo chagua, bonyeza kikapu utaona bidhaa zako kisha bonyeza Lipia Bidhaa, hakikisha idadi ya bidhaa kwenye oda yako na kisha bonyeza Lipia Bidhaa, ukurasa utakao fuata utakuwezesha kuingia kwenye akaunti yako kama ulikuwa hujaingia bado na kisha weka adresi yako na mawasilino yako ya simu halafu utachagua njia ya malipo kutokana na mtandao unaotumia, thibitisha kwenye simu yako kwa kuweka neno la siri la akaunti yako ya simu na tayari utakuwa umenunua bidhaa, kitakacho fuata oda yako itapokelewa na kushughulikiwa kisha utaletewa au kutumiwa bidhaa zako popte ulipo.

Maswali yaulizwayo mara nyingi.