Nyumbani >
Namna ya kuuza bidhaa Stooyangu.com >
Stooyangu.com: Namna ya kuuza bidhaa Stooyangu.com
Kuuza bidhaa na Stooyangu.com ni rahisi, hatua ya kwanza jisajili kupata akaunti ya mtumiaji, na kisha hatua ya pili ni kuingia kwenye ukurasa wa kusajili stoo yako, jaza taarifa zote muhimu na kisha tuma taarifa zako kwa kubonyeza kitufe cha Jisajili, taarifa zako zikiwa ni sahihi utapelekwa moja kwa moja kwenye ukurasa wa Stoo yako mpya, hapo utaanza kuweka bidhaa zako kwa kuweka picha, bei na taarifa muhimu za bidhaa zako, pia ni sehemu utakayo kuwa ukiendesha shughuli zote za stoo yako ya mtandaoni kama kuona oda za wateja, kuona maendeleo ya stoo na bidhaa zake n.k.
Maswali yaulizwayo mara nyingi.