35% Complete (success)
20% Complete (warning)
10% Complete (danger)
Nyumbani Jisajili Ingia
Brand

SMS-huduma

(+255) 0622 11 57 57


Kwa kawaida unatakiwa kuingia kwenye stoo yako ili uweze kuona Oda mpya za wateja, lakini huduma hii ya SMS-huduma ina kurahisishia mambo zaidi.

Huduma hii itakuwezesha kupata SMS kupitia simu yako ya mkononi pindi tu utakapo kuwa na Oda mpya za bidhaa kwenye stoo yako kutoka kwa wateja, ili uweze kuzifanyia kazi kwa haraka zaidi, Hii ni pale ambapo utakuwa umeishiwa data (MB) basi utaweza pata Oda mpya kupitia SMS za kawaida.

Namba ya simu inayotumiwa kukutumia ujumbe ni: 0622 11 57 57 (Halotel), tafadhali usiwe na shaka pindi upokeapo SMS toka kwenye namba hiyo.

Huduma hii ipo kwenye majaribio, kwa sasa.

...