Aina za Bidhaa Nyumbani Msaada. Maoni Kuhusu sisi SMS-huduma Lugha: Kiswahili

Arduino nano

27,000 Tsh.

Genova

8,000 Tsh.

Stooyangu © 2021

Jisajili kupata Akaunti.

Kutumia stooyangu.com ni rahisi, unacho hitaji ni kuwa na taarifa chache juu ya wewe binafi kama mtumiaji wa mtandao huu ili uweze kununua bidhaa na kufanya shuguli nyingine mbalimbali, na kwa hivyo ni muhimu kujisajili ili kupata akaunti itakayo kuwezesha kuingia na kutumia huduma zetu, kujisajili ni rahisi ingia kwenye ukurasa wa jisajili na ujaze fomu kwa usahihi, kisha soma vigezo na masharti ya matumizi ya mtandao wetu na kama umekubaliana nayo basi bonyeza Tuma taarifa zako kutuma taarifa.

Baada ya kutuma taarifa zako utapelekwa kwenye ukulasa utakao kuwezesha kuthibitisha akaunti yako kwa njia ya simu. Utatumiwa tarakimu sita kwenye simu yako kwa njia ya SMS na kisha utaziingiza tena kwenye ukurasa utakao fuata kuthibitisha akaunti yako.

Jisajili kufungua Stoo.

Stoo inakuwezesha kuuza bidhaa kwenye mtandao wetu ili uweze kuwafikia wateja wengi zaidi mahali tofauti tofauti Tanzania. Ingia kwenye akaunti yako na kisha ingia kwenye ukurasa wa kusajili stoo kwa kubonyeza Sajili stoo yako, jaza taarifa kwa umakini na kisha tuma, utapelekwa kwenye ukurasa mwingine utakao kuwezesha kuweka picha ya stoo yako na sasa unaweza endelea kuweka bidhaa kwenye stoo yako mpya.

Kwa msaada zaidi

https://www.stooyangu.com

email: taarifa@stooyangu.com

Phone: (+255) 753 123 262

Arusha/Tanzania

instagram: Stooyangu

instagram: Stooyangu

instagram: Stooyangu

Imedhaminiwa

Genova

8,000 Tsh.


tangazo

Stooyangu © 2021

....