35% Complete (success)
20% Complete (warning)
10% Complete (danger)
Nyumbani Jisajili Ingia
Brand
Ni mtandao ambao unatengeneza jukwaa litakalo wawezesha wajasiliamali, wafanyabiashara, wasanii, wabunifu na wataalamu katika sekta mbalimbali kuweza uza bidhaa au huduma zao ili kuweza wafikia wateja kwa urahisi zaidi.
Jukwaa hili linakuwezesha kuuza bidhaa halali za aina tofauti kuanzia matumizi madogo madogo ya majumbani mpaka matumizi makubwa ya kibiashara na viwanda.
Jukwaa hili pia litakuwezesha kupata huduma za kijamii bure ili kukurahisishia wewe mtumiaji wetu katika shughuli tofauti tofauti za kila siku.
Kwa sasa mtandao wetu ni kwa ajili ya watanzania, tutazidi boresha huduma zetu ili tuweze hudumia wageni na mataifa mengine. Ninatumaini tutakuwa msaada sana kwako katika kukuza biashara yako na kuboresha maisha yako ya kila siku, jisajili nasi kupata akaunti itakayo kuwezesha kutumia huduma zetu kiurahisi zaidi, na pia unaweza sajili stoo yako ili kuanza kuuza na kutangaza bidhaa na huduma zako, Karibu sana.
Shukrani!.

Mwanzilishi:


Tunu Yolim Ngajilo